leo
Leo nisikiliza muziki. Nina muziki wenki ipodni. United States kati ya Canada na Mexico.
Ninihali ya hewa leo?
Leo ni tarehe ishirini na nane.
Ninajiamba kiswahili...
Rafiki yangu, Kristin, anasakini Seoul, Korea. Alinisafiri!
Ninasikia njga. Ninataka chakula. Nitakula chaukla gani? Nitakula tambi.
Juzi idjuma jioni nilicheza muziki. Nilikwenda "Mole's Eye" na McNeil's. Leo mchana jumamosi, nilikwenda Mount Snow. Niljifunza ku"snowboard" (unasemaje snowboard? thelujiubao??).
Vipi?
Nina paka... anaitwa Michelle. Ana kali na tamu. Amy aliza Sage. Ninapenda kusoma vitabu. Ninapenda kuandika vitabu. Nina nywele weusi.
Heri ya sikuku ya mtakatifu Patriki!
Mimi ni mtoto wa pili. Nina mama moja, anaitwa Patricia. Nina kaka moja, anaitwa Jason. Nina bibi moja, anaitwa Nancy. Wanatoka Fort Lauderdale.
Nina mama mkubwa moja. Anaitwa Liz. Ana mke. Anaitwa Amy. Wanatoka Tallahassee. Wana mtoto mjoa. Anaitwa Sage Elizabeth.
Nina mama mdogo moja. Anaitwa Terry. Ana mke. Anaitwa Paula. Wanatoka Asheville.
Nina msagaji familiani wengi.
Ninapenda familia yangu!
Habari za jioni?
Nili nywele ndefu. Nina nywele fupi. Ninapenda kusafiri, kula (chapati, ndizi, nanasi, na kachumbari). Zamani, nilikula nyama. Sasa, sili nyama. Sili musi, semaki, na kuku.
Ninatoka Florida, Ohio, Georgia, South Carolina, North Carolina, na Texas... ninatoka Marakani. Nilizaliwa mwaka 1981. Nina umri wa miaka ishirina na tatu. Mimi ni mwanamke.