Iliyopita jumamosi
Iliyopita jumamosi asabuhi na mchana, rafiki yangu na mimi, tulikimbia njeni sana! Jumamosi jioni tulikwenda "city hall." Sasa, katika mwezi watano, Seoul ni karamu kakubwa. Anaitwa "Hi Seoul Fest 2005." Tulisikiliza muziki. Tulikunywa na tuliambizana. Jumamosi usiku, nilijisikia kuchoka sana. Ilikuwa leo nzuri.

0 Comments:
Post a Comment
<< Home