Monday, April 18, 2005

kesho

to ndesanjo..

Shikamoo, mwalimu.

Habari za asabuhi?

Kesho, mama yangu atanisafiri. Anaitwa Patt na natoka Florida. Kwa hivyo, sitakwenda darasani. Samahani. Nitasoma sana kiswahili!

Nina furaha!

0 Comments:

Post a Comment

<< Home