Wednesday, April 13, 2005

my exciting life

asabuhi...

Huwa ninaamka sa moja na nusu. Halafu ninakula chamshakinya sa mbili. Ninaendesha gari yangu (?) kazini sa mbili na robo. Ninafanya kazi sa mbili na nusu.

jioni...
Jumanne na alhamisi ninakwenda darasani sa kumi na mbili na nusu. kila jioni ninapenda kusikilileza muziki.

0 Comments:

Post a Comment

<< Home