Thursday, March 17, 2005

familia

Heri ya sikuku ya mtakatifu Patriki!

Mimi ni mtoto wa pili. Nina mama moja, anaitwa Patricia. Nina kaka moja, anaitwa Jason. Nina bibi moja, anaitwa Nancy. Wanatoka Fort Lauderdale.

Nina mama mkubwa moja. Anaitwa Liz. Ana mke. Anaitwa Amy. Wanatoka Tallahassee. Wana mtoto mjoa. Anaitwa Sage Elizabeth.

Nina mama mdogo moja. Anaitwa Terry. Ana mke. Anaitwa Paula. Wanatoka Asheville.

Nina msagaji familiani wengi.

Ninapenda familia yangu!

0 Comments:

Post a Comment

<< Home