ninapenda sana kula chakula
Niko Seoul. Wiki iliyopita nilisafirini Korea. Rafiki yangu Kristin anafundisha shuleni. Anafundisha English. Yeye ni wanafunzi wadogo saba. Wao watoto watamu.
Idjumaa iliyopita, tulikwenda chaka. Tulitembea jamii. Tulikula chakula Koreani. Ninapenda kula "gimbap ya oi na sigeumchi" (sushi with cucumber and spinach). Sipendi kula "chijeu gimbap" (cheese sushi)!
Leo mchana, nitakwenda hoteli ya mboga. Wao si nyama. Nitasema, "Chaesik juui imnida" (Sili nyama).
Nimeandika ya chauka. Sasa, ninasikia njaa!!

0 Comments:
Post a Comment
<< Home