what to do, what to do?
Lazima nisome lakini inanipasa nione Seoul. Kwa hivyo, nitakwenda pale. Huyu jiji chafu na safi. Kuna ni mto mkubwa. Rafiki yangu Kristin yeye hutembea kila siku. Mimi sitembea kila siku, kwa hivyo nina sikia choka na njaa.
Lazima nisome lakini inanipasa nione Seoul. Kwa hivyo, nitakwenda pale. Huyu jiji chafu na safi. Kuna ni mto mkubwa. Rafiki yangu Kristin yeye hutembea kila siku. Mimi sitembea kila siku, kwa hivyo nina sikia choka na njaa.
Rafiki yangu, anakaa Seoul. Anajua Seoul na lugha ya Korean. Sijui Seoul na lugha ya Korean. Ninasema, "Unasemaje...? Unakwendaje...? Unapikaje...?"
Jana, tunapika chakula ya Korean. Leo mchana, tutakwenda duka. Nitanunua zawadi. Leo jioni, tutaona filmu za English. Jeeyoung ni Koreani. Yeye ni rafiki yake Kristin. Nitajuana Jeeyoung. Ninapendaa
Iliyopita jumamosi asabuhi na mchana, rafiki yangu na mimi, tulikimbia njeni sana! Jumamosi jioni tulikwenda "city hall." Sasa, katika mwezi watano, Seoul ni karamu kakubwa. Anaitwa "Hi Seoul Fest 2005." Tulisikiliza muziki. Tulikunywa na tuliambizana. Jumamosi usiku, nilijisikia kuchoka sana. Ilikuwa leo nzuri.
Niko Seoul. Wiki iliyopita nilisafirini Korea. Rafiki yangu Kristin anafundisha shuleni. Anafundisha English. Yeye ni wanafunzi wadogo saba. Wao watoto watamu.
Idjumaa iliyopita, tulikwenda chaka. Tulitembea jamii. Tulikula chakula Koreani. Ninapenda kula "gimbap ya oi na sigeumchi" (sushi with cucumber and spinach). Sipendi kula "chijeu gimbap" (cheese sushi)!
Leo mchana, nitakwenda hoteli ya mboga. Wao si nyama. Nitasema, "Chaesik juui imnida" (Sili nyama).
Nimeandika ya chauka. Sasa, ninasikia njaa!!