kesho
to ndesanjo..
Shikamoo, mwalimu.
Habari za asabuhi?
Kesho, mama yangu atanisafiri. Anaitwa Patt na natoka Florida. Kwa hivyo, sitakwenda darasani. Samahani. Nitasoma sana kiswahili!
Nina furaha!
to ndesanjo..
Shikamoo, mwalimu.
Habari za asabuhi?
Kesho, mama yangu atanisafiri. Anaitwa Patt na natoka Florida. Kwa hivyo, sitakwenda darasani. Samahani. Nitasoma sana kiswahili!
Nina furaha!
asabuhi...
Huwa ninaamka sa moja na nusu. Halafu ninakula chamshakinya sa mbili. Ninaendesha gari yangu (?) kazini sa mbili na robo. Ninafanya kazi sa mbili na nusu.
jioni...
Jumanne na alhamisi ninakwenda darasani sa kumi na mbili na nusu. kila jioni ninapenda kusikilileza muziki.
Nimesoma maendelo endelevy na haki za jamii. Ninafanya kazi elimu ya kimataifa.
Ninatoka kusema Kiswahili.
Jason, kaka yangu, anafanya kazi Broward Community College. Nancy, bibi yangu, anafanya kazi Whole Foods Market. Patricia, mama yangu, anafanya kazi Jones, Lang, na LaSalle.